• HABARI MPYA

  Monday, January 02, 2023

  AZAM FC WATUA ZENJI KUWANIA KOMBE LA MAPINDUZI


  WACHEZAJI wa Azam FC wakiteremka kwenye boti baada ya kuwasili visiwani Zanzibar tayari kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi iliyoanza juzi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC WATUA ZENJI KUWANIA KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top