• HABARI MPYA

  Friday, January 06, 2023

  SIMBA SC KWENDA DUBAI KESHO KUWEKA KAMBI


  KIKOSI cha Simba kesho kinatarajiwa kuondoka nchini kwenda Dubai kuweka kambi ya mazoezi kujiandaa na sehemu iliyobaki ya msimu.
  Kambi hiyo ni mwaliko kutoka kwa Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohammed Dewji na wanakwenda huko kufuatia kutolewa mapema kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC KWENDA DUBAI KESHO KUWEKA KAMBI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top