• HABARI MPYA

  Tuesday, January 24, 2023

  MKOKO APIGA HAT TRICK NAMUNGO YAITANDIKA KMC 3-1 UHURU


  TIMU ya Namungo FC imepata ushindi wa ugenini wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  Mabao yote ya KMC leo yamefungwa na mshambuliaji wake Ibrahim Mkoko dakika za 40, 57 na 90 na ushei.
  Kwa ushindi huo, Namungo FC inafikisha pointi 29, ingawa inabaki nafasi ya sita, wakati KMC inabaki na pointi zake 23 nafasi ya 10 baada ya wote kucheza mechi 21.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MKOKO APIGA HAT TRICK NAMUNGO YAITANDIKA KMC 3-1 UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top