• HABARI MPYA

  Sunday, January 15, 2023

  CHELSEA YIBAMIZA CRYSTAL PALACE 1-0 STAMFORD BRIDGE


  BAO pekee la Kai Havertz dakika ya 64 limeipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
  Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 28 katika mchezo wa 19 na kusogea nafasi ya 10, wakati Crystal Palace inabaki na pointi zake 22 za mechi 18 nafasi ya 12.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YIBAMIZA CRYSTAL PALACE 1-0 STAMFORD BRIDGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top