• HABARI MPYA

  Saturday, January 14, 2023

  GEITA GOLD YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 NYANKUMBU


  WENYEJI, Geita Gold wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Nyankumbu mjini Geita.
  Pongezi kwa wafungaji wa mabao hayo, Amos Kadikilo dakika ya 45 na ushei na Edmund John dakika ya 75.
  Kwa ushindi huo Geita Gold inafikisha pointi 27 na kusogea nafasi y tano, wakati Dodoma Jiji FC inabaki na pointi zake 21 nafasi ya 12 baada ya wote kucheza mechi 20.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GEITA GOLD YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 NYANKUMBU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top