• HABARI MPYA

  Friday, January 27, 2023

  KASEKE AFUNGIWA NA FAINI JUU KWA USHIRIKINA


  MCHEZAJI wa Singida Big Stars, Deus Kaseke amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa tuhuma za kufanya mambo ya kishirikina kwenye mchezo dhidi ya Azam FC Januari 23, mwaka huu Uwanja wa LITI mjini Singida.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KASEKE AFUNGIWA NA FAINI JUU KWA USHIRIKINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top