• HABARI MPYA

  Tuesday, January 17, 2023

  SINGIDA BIG STARS YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 LITI


  BAO pekee la kiungo Mbrazil, Bruno Gomes dakika ya 14 limeipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi a Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa LITI mjini Singida.
  Kwa ushindi huo, Singida Big Stars inafikisha pointi 40, ingawa inabaki nafasi ya nne ikizidiwa pointi tatu na Azam FC baada ya wote kucheza mechi 20.
  Kwa upande wao Kagera Sugar baada ya kichapo cha leo wanabaki na pointi zao 24 za mechi 20 nafasi ya nane.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA BIG STARS YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 LITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top