• HABARI MPYA

  Monday, January 16, 2023

  SIMBA YASAJILI MSHAMBULIAJI WA MALINDI YA ZANZIBAR


  KLABU ya Simba imemtambulisha mshambuliaji mpya Mohammed Mussa kutoka klabu ya Malindi ya Zanzibar ambaye anakuwa mchezaji mpya wa nne katika dirisha dogo lililofungwa jana usiku.
  Wengine wapya ni kiungo wa ulinzi Mburkinabe, Hemed Ismael Sawadogo kutoka Difaa El Jadida ya Morocco, kiungo mshambuliaji Mrundi, Saido Ntibanzokiza kutoka Geita Gold na mshambuliaji Mkongo, Jean Toria Baleke Othos kutoka Nejmeh SC ya Lebanon.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YASAJILI MSHAMBULIAJI WA MALINDI YA ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top