• HABARI MPYA

  Tuesday, January 03, 2023

  MBRAZIL ROBERTINHO NDIYE KOCHA MKUU SIMBA SC


  KLABU ya Simba leo imemtambulisha Mbrazil, Roberto Oliviera 'Robertinho' kuwa kocha wake mpya Mkuu na mara moja atakwenda kuungana na timu visiwani Zanzibar ambako inashiriki Kombe la Mapinduzi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBRAZIL ROBERTINHO NDIYE KOCHA MKUU SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top