• HABARI MPYA

    Thursday, January 19, 2023

    MUSONDA AFUNGA BAO PEKEE YANGA YASHINDA 1-0 KIGAMBONI


    BAO pekee la mshambuliaji mpya kutoka Zambia, Kennedy Musonda limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Dar City katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Avic Town, Somangira, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MUSONDA AFUNGA BAO PEKEE YANGA YASHINDA 1-0 KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top