JEZI MPYA ZA YANGA KWA AJILI YA KOMBE LA SHIRIKISHO
WACHEZAJI wa Yanga wakionyesha jezi mpya zenye nembe ya mdhamini mpya, kampuni ya Haier iliyoingia mkataba wenye thamani ya Sh. Bilioni 1.5 na klabu hiyo kuidhamini kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
0 comments:
Post a Comment