• HABARI MPYA

  Sunday, January 08, 2023

  MAN CITY YAICHAPA CHELSEA 4-0 KOMBE LA FA


  TIMU ya Manchester City imetinga Raundi ya Nne ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Chelsea usiku huu Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.
  Mabao ya Manchester City yamefungwa na Riyad Mahrez mawili dakika za 23 na 85 kwa penalti, Julian Alvarez kwa penalti pia dakika ya 30 na Phil Foden dakika ya 38 The Blues wakiendelea kukutana na matokeo mabaya kutokana na kukabiliwa na idadi kubwa ya wachezaji majeruhi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA CHELSEA 4-0 KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top