• HABARI MPYA

  Tuesday, January 03, 2023

  IHEFU YAICHAPA KMC 1-0 BAO LA KUJIFUNGA MBARALI


  BAO la kujifunga la beki Ismail Gambo limeipa Ihefu SC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Highland Estate huko Mbarali mkoani Mbeya.
  Kwa matokeo hayo, Ihefu SC inafikisha pointi 20 na kusogea nafasi ya 13, wakati KMC inabaki na pointi zake 22 nafasi ya tisa baada ya wote kucheza mechi 19.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IHEFU YAICHAPA KMC 1-0 BAO LA KUJIFUNGA MBARALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top