• HABARI MPYA

  Thursday, January 05, 2023

  IHEFU YATEMA WACHEZAJI WATANO DIRISHA DOGO


  KLABU ya Ihefu ya Mbarali imetangaza kuachana na nyota wake watano katika dirisha hili dogo kuelekea sehemu iliyobaki Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
  Hao ni Joseph Kinyozi, Omary Mponda, Evaligestus Mujwahuki, Ally Ramadhan 'Oviedo' na Wema Sadock.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IHEFU YATEMA WACHEZAJI WATANO DIRISHA DOGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top