• HABARI MPYA

  Sunday, January 22, 2023

  MBEYA CITY YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 SOKOINE


  BAO pekee la Sixtus Sabilo dakika ya 14 limeipa Mbeya City ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja Sokoine Jijini Mbeya.
  Kwa ushindi huo, Mbeya City inafikisha pointi 24 na kusogea nafasi ya tisa ikizidiwa pointi moja na Mtibwa Sugar inayoshika nafasi ya nane.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBEYA CITY YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top