• HABARI MPYA

  Wednesday, January 18, 2023

  LIVERPOOL YATINGA RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA ENGLAND


  MABINGWA watetezi, Liverpool wametinga Raundi ya Nne ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers usiku wa Jumanne Uwanja wa Molineux .
  Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, Harvey Elliott dakika ya 13 tu ya mchezo na sasa Liverpool watakutana na Brighton & Hove Albion katika Raundi ya Nne.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YATINGA RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top