• HABARI MPYA

  Wednesday, January 25, 2023

  INONGA NA PHIRI WAANZA MAZOEZI SIMBA SC


  WACHEZAJI wa Simba waliokuwa majeruhi, beki Mkongo Henock Inonga Baka 'Varane', kiungo Mmalawi, Peter Banda na mshambuliaji Mzambia Moses Phiri leo wamefanya mazoezi kuelekea mchezo dhidi ya Coastal Union Jumamosi.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: INONGA NA PHIRI WAANZA MAZOEZI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top