ALIYEKUWA Mfadhili wa Yanga tangu miaka ya 1960, Shiraz Sharrif amefariki dunia leo katika hospitali ya Seif Jijini Dar es Salaam.
Taarifa za awali zinasema Sharrif ambaye ndiye mwasisi wa klabu ya Pan Africans atazikwa kesho Saa 6:45 mchana katika makaburi ya Jamathkhana, Upanga Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment