• HABARI MPYA

  Sunday, January 29, 2023

  IHEFU YAITOA NAMUNGO KWA MATUTA KOMBE LA TFF RUANGWA


  TIMU ya Ihefu FC imesonga mbele Hatua ya 16 Bora  Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0 leo Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
  Mechi nyingine za leo,  Tanzania Prisons imeitoa Mashujaa kwa penalti 8-7 kufuatia sare ya 2-2 Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam na Kagera Sugar imeitupa nje Ken Gold kwa kuichapa 2-0 Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IHEFU YAITOA NAMUNGO KWA MATUTA KOMBE LA TFF RUANGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top