• HABARI MPYA

  Monday, January 16, 2023

  YANGA YAMTAMBULISHA BEKI WA MALI MAMADOU DOUMBIA


  KLABU ya Yanga SC imemtambulisha beki wa kati, Mamadou Doumbia (27) kutoka Stade Malien ya kwao kuwa mchezaji wake mpya dirisha hili dogo.
  Doumbia anayefanya nyota wawili kwenye kikosi cha Yanga kutoka timu ya taifa ya Mali baada ya kip Djigui Diarra, anakuwa mchezaji mpya wa tatu dirisha hili dogo akiungana na kiungo Mzanzibari Mudathir Yahya na mshambuliaji Mzambia, Kennedy Musonda.
  Doumbia aliibukiia Stade Malien mwaka 2015 kabla ya kwenda Olympique Safi ya Morocco  mwaka 2017 aliporejea Stade Malien.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YAMTAMBULISHA BEKI WA MALI MAMADOU DOUMBIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top