• HABARI MPYA

  Wednesday, January 25, 2023

  CAF YAMPA JUKUMU LIUNDA MECHI YA USM ALGER NA LUPOPO


  SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limemteua Mkufunzi wa Waamuzi nchini, Leslie Liunda kuwa Mtathimini wa Waamuzi wa mchezo wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika baina ya wenyeji, U.S.M Alger na FC Saint Eloi Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Februari 12 Jijini Algiers nchini Algeria.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CAF YAMPA JUKUMU LIUNDA MECHI YA USM ALGER NA LUPOPO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top