Mwanzo > YANGA > DIARRA AONGEZWA MKATABA YANGA BAADA YA KAZI NZURI HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA DIARRA AONGEZWA MKATABA YANGA BAADA YA KAZI NZURI KLABU ya Yanga imemuongezea mkataba kipa wake wa kimataifa wa Mali, Djigui Diarra baada ya kazi nzuri katika msimu uliopita akiiwezesha timu kutwaa ubingwa. Tuesday, January 03, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment