• HABARI MPYA

  Saturday, January 21, 2023

  LIVERPOOL YALAZIMISHWA SULUHU NA CHELSEA ANFIELD


  WENYEJI, Liverpool FC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield Jijini Liverpool.
  Kwa matokeo hayo, timu zote zinafikisha pointi 28, Liverpool waliocheza mechi 18 wakiwa juu ya Chelsea yenye mechi moja zaidi kutokana na wastani wa mabao.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YALAZIMISHWA SULUHU NA CHELSEA ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top