• HABARI MPYA

  Tuesday, January 03, 2023

  AZAM FC YAANZA NA SARE 1-1 NA MALINDI KOMBE LA MAPINDUZI


  TIMU ya Malindi SC imetoa sare ya kufungana bao 1-1 na Azam FC katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Azam FC walitangulia na bao la Ayoub Lyanga dakika ya 33, kabla ya Said Omar kuisawazishia Malindi SC dakika ya 77.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAANZA NA SARE 1-1 NA MALINDI KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top