HATIMAYE matokeo ya Uchaguzi wa Simba SC yametangwzwa na Murtaza Ally Mangungu ameshinda tena nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu kwa kupata kura 1,311.
Walioshinda nafasi ya ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ni;
1. Dr Seif Ramadhan Muba - kura 1636
2. Asha Baraka - kura 1564
3. CPA Issa Masoud Iddi - kura 1285
4. Rodney Chiduo - kura 1267
5. Seleman Harubu - kura 1250
0 comments:
Post a Comment