• HABARI MPYA

  Sunday, December 07, 2014

  SANCHEZ ALIPOTIWA 'ROBA YA MBAO' JANA BRITANIA

  Stoke's Charlie Adam grabs Arsenal forward Alexis Sanchez around the next late on at the Britannia 
  Charlie Adam wa Stoke City akiwa amemtia 'roba' shingoni mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Britannia. Mchezaji huyo alipewa kadi ya njano tu kwa tukio hilo kwenye mchezo, ambao Arsenal ililala 3-2. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANCHEZ ALIPOTIWA 'ROBA YA MBAO' JANA BRITANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top