• HABARI MPYA

  Sunday, December 07, 2014

  DIAMOND ATUA MAREKANI KUTUMBUIZA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA


   Mwanamuziki wa Tanzania, Nassib Abdul, 'Diamond Platnumz' akiwasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles tayari kwa makamuzi ya sharehe ya Uhuru itayofanyika muda si mrefu Sheraton, ya Downtown Silver Spring, Maryland, Marekani.
   Diamond akipunga mkono kusalimiana na mwenyeji wake hayupo pichani mara tu baada ya kuwasili Dulles.
   Kutoka (kushoto) ni Dj Romy Jones, Diamond na mmoja wa waratibu wa sherehe ya Uhuru, Phanuel Ligate.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIAMOND ATUA MAREKANI KUTUMBUIZA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top