• HABARI MPYA

  Saturday, December 06, 2014

  'BIG BOSS' AZAM FC ALIPOSHUHUDIA MAZOEZI YA TIMU JANA CHAMAZI

  Mkurugenzi Mkuu wa Azam FC, Abubakar Bakhresa (kushoto) akijadiliana mambo na Mtendaji Mkuu wa klabu, Saad Kawemba (kuli) wakati wa mazoezi ya timu hiyo jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
  Abubakar na Kawemba katika mjadala mzito...
  Wakurugenzi wengine, kulia Omar Bakhresa na nyuma yake ni Jamal Bakhresa (baba yake mdogo) kushoto Chilei.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'BIG BOSS' AZAM FC ALIPOSHUHUDIA MAZOEZI YA TIMU JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top