• HABARI MPYA

  Friday, December 19, 2014

  BALOTELLI AFUNGIWA NA KUPIGWA FAINI ENGLAND

  MSHAMBULIAJI Mario Balotelli amefungiwa mechi moja na kutozwa faini ya Pauni 25,000 kwa kuvunja sheria za Chama cha Soka England kwenye mitandao ya kijamii.
  Mshambuliaji huyo wa Liverpool alikubali mashitaka ya FA wiki iliyopita na kuwasilisha utetezi juu ya picha aliyoposti kwenye ukurasa wake wa Instagram Desemba 1.
  Balotelli, sasa ataikosa mechi ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Arsenal Jumapili na atatakiwa kuhudhuria darasa la kozi ya elimu na kuna uwezekano akachukuliwa hatua za kinidhamu na klabu yake pia, Liverpool. 
  Mario Balotelli has been fined, suspended and ordered to attend educational classes after a social media post
  Mario Balotelli amepigwa faini na kufungiwa mechi moja bada ya kuposti upuuzi kwenye mitandao ya kijamii
  Balotelli's ban comes in reaction to the
  Balotelli pictured in action for Liverpool during the defeat against Manchester United
  Balotelli amefungiwa baada ya kuposti picha tata kushoto hiyo katika Instagram yake
  Balotelli immediately received criticism upon uploading the post, and rejected the responses
  Mara baada ya kuanza kukandiwa kwa picha hiyo, Balotelli haraka sana akaposti maneno hata
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOTELLI AFUNGIWA NA KUPIGWA FAINI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top