• HABARI MPYA

  Thursday, December 18, 2014

  BABU PLUIJM NA MKWASA WAKIBANGUA BONGO ZAO LEO

  Makocha wa Yanga SC, Hans van der Pluijm kushoto akiwa na Msaidizi wake, Charles Boniface Mkwasa katikati na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ahmed Mgoyi leo asubuhi Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BABU PLUIJM NA MKWASA WAKIBANGUA BONGO ZAO LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top