• HABARI MPYA

  Thursday, December 04, 2014

  AGUERO APIGA MBILI MAN CITY IKIICHAPA 4-1 SUNDERLAND

  MANCHESTER City imetoka nyuma na kushinda mabao 4-1 dhidi ya wenyeji Sunderland Uwanja wa Light usiku huu katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.
  Connor Wickham alimaliia krosi nzuri ya Sebastian Larsson kuifungia bao la kuongoza Sunderland dakika ya 19, kabla ya Sergio Aguero kuisawazishia Manchester City dakika ya 21.
  Bao hilo la Aguero lilikuwa bao la kwanza kwa  Manchester City kufunga Uwanja wa Light tangu Machi mwaka 2010, wakati Stevan Jovetic aliifungia bao la pili City dakika ya 39.
  Pablo Zabaleta akaifungia timu ya Manuel Pellegrini bao la tatu, kabla ya Aguero kufunga la nne.
  Aguero celebrates his second goal of the night before soon after being substituted for Frank Lampard

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2859805/Sunderland-1-4-Manchester-City-Sergio-Aguero-sublime-Stevan-Jovetic-Pablo-Zabaleta-chip-break-Black-Cats-curse.html#ixzz3KsHTzbTV 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGUERO APIGA MBILI MAN CITY IKIICHAPA 4-1 SUNDERLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top