• HABARI MPYA

  Thursday, December 04, 2014

  VAN PERSIE ATINGA WIGI LA AKINA MAMA NA KUJIACHIA NALO KWENYE PATI

  WACHEZAJI wa Manchester United wamerudi kwenye zama za raja na vituko kupitiliza.
  Mshambuliaji Robin van Persie kwa furaha ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Stoke City Jumanne, jana usiku akavalia wigi la kike kabisa na kupiga picha na wachezaji wenzake Marouane Fellaini na kipa wa akiba Anders Lindegaard. 
  Robin van Persie wears a wig in this Christmas Party snap with Anders Lindegaard and Marouane Fellaini
  Robin van Persie akiwa amevalia wifi kusherehekea Krisimasi na Anders Lindegaard na Marouane Fellaini
  Radamel Falcao poses with his pregnant wife Lorelei Taron on Wednesday night
  Radamel Falcao naye alikwenda kujirusha na mkewe mjamzito Lorelei Taron jana usiku

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2859978/Manchester-United-Christmas-party-Robin-van-Persie-share-happy-snaps-annual-celebration-Instagram.html#ixzz3Kttk12Zg 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VAN PERSIE ATINGA WIGI LA AKINA MAMA NA KUJIACHIA NALO KWENYE PATI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top