• HABARI MPYA

  Wednesday, December 03, 2014

  ROONEY KUFANYIWA VIPIMO VYA GOTI BAADA YA KUUMIA NA HULL CITY

  NAHODHA Wayne Rooney leo atakwenda kufanyiwa vipimo wakati wachezaji wenzake wengine wote wa Manchester United wanajiandaa kuingia kwenye sherehe za Krisimasi.
  Rooney aliukosa mchezo wa jana usiku United ikishinda 2-1 dhidi ya Stoke City baada ya kuumia mwishoni mwa mchezo dhidi ya Hull, na kocha Louis van Gaal sasa anasubiri kujua kama Nahodha wake atakuwepo kwenye mechi ya Jumatatu dhidi ya Southampton.
  "Tunatakiwa kusubiri hadi Jumatano ili kuweza kusema chochote juu yake (Rooney) kwa sababu huwezi kujua juu ya goti lake,"amesema Van Gaal.
  Wayne Rooney watches Manchester United beat Stoke from the stands after injuring his knee against Hull
  Wayne Rooney akiiangalia Manchester United ikiifunga Stoke jana yeye akiwa jukwaani baada ya kuumia goti dhidi ya Hull
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROONEY KUFANYIWA VIPIMO VYA GOTI BAADA YA KUUMIA NA HULL CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top