JEZI MPYA ZA MBEYA CITY, ASANTE RB BATTERY ZA BIN SLUM
Jezi mpya za Mbeya City ya Mbeya za nyumbani na ugenini (kulia) ambazo watatumia katika hatua inayofuata ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Mbeya City inadhamini na kampuni ya Bin Slum Tyres Limited, kupitia beteri za RB.
0 comments:
Post a Comment