• HABARI MPYA

  Friday, December 19, 2014

  AISHA MADINDA ALIVYOPUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE

  HATIMAYE AISHA MADINDA AZIKWA MAKABURI YA KIBADA KIGAMBONI JIONI HII
  Mnenguaji Mwanaisha Mohamed Mbegu maarufu kama Aisha Madinda amezikwa jioni hii katika makaburi ya Kibada, Kigamboni jijjini Dar es Salaam.
  Mazishi ya Aisha Madinda yalianza kufanyika saa 11 kamili na kukamilika saa 11.32.
  Habari na picha zaidi zitafuata baadae.
   Mazishi ya Aisha Madinda
  Super Nyamwela akifukia kaburi. 
  PICHA ZAIDI NENDA Saluti5.com
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AISHA MADINDA ALIVYOPUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top