• HABARI MPYA

  Saturday, December 20, 2014

  BONGE LA MECHI MBEYA CITY NA MTIBWA KESHO KYELA

  MBEYA City, inatarajiwa kumenyana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa kirafiki kesho Uwanja wa Halmashauri mjini Kyela, Mbeya.
  Dismas Ten, Msemaji wa Mbeya City ameiambia BIN ZUBEIRY jana kwamba mchezo huo ni maalum kwa timu zote mbili kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
  “Maandalizi yamekamilika na timu zote mbili zimedhamiria kuwapa burudani nzuri wakazi wa Kyela, tunaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi,”amesema Ten.
  Kikosi cha Mbeya City
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BONGE LA MECHI MBEYA CITY NA MTIBWA KESHO KYELA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top