• HABARI MPYA

  Friday, December 19, 2014

  DI MARIA AREJEA KUONGEZA NGUVU KIKOSI CHA MAN UNITED

  WINGA Angel di Maria anaweza kurejea kikosini Manchester United wakati wa mechi na Aston Villa baada ya kupona maumivu ya nyama yaliyomuwek nje kwa mechi tatu zilizopita.
  Mchezaji huyo aliyesajiliwa United kwa dau la rekodi la Pauni Milioni 59.7 leo amefanya mazoezi na kikosi cha kwanza na yuko tayari kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ya kocha Louis van Gaal wakati Mholanzi huyo Dutchman anatazamiwa kuendeleza wimbi la ushindi katika mechi saba mfululizo. 
  Lakini kocha huyo United hatamharakisha Di Maria kurejea uwanjani na amemuonya kwamba kama Radamel Falcao, anatakiwa kutulia.
  Di Maria aliyekuwa nje mechi tatu zilizopita kwa sababu ya maumivu ya njama anaweza kurejea dhidi ya Aston Villa

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2880564/Angel-di-Maria-Luke-Shaw-return-training-Manchester-United-s-injury-crisis-eases-ahead-Aston-Villa-encounter.html#ixzz3MLwzygzG 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DI MARIA AREJEA KUONGEZA NGUVU KIKOSI CHA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top