NYOTA wa Wydad Casablanca ya Morocco, Simon Happygod Msuva akiwa mazoezini na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jioni ya leo Uwanja wa TP Mazembe Jijini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuelekea mchezo wa kesho wa Kundi J kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji, The Leopards.
0 comments:
Post a Comment