• HABARI MPYA

  Thursday, September 16, 2021

  MESSI, NEYMAR NA MBAPPE LAKINI PSG SARE

  LICHA ya kuongozwa na nyota watatu wakubwa duniani, Lionel Messi, Kylian Mbappe na Neymar, lakini Paris Saint-Germain iliambulia sare ya 1-1 na wenyeji, Club Bruges katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Jan Breydel Jijini Brugge, Ubelgiji.
  Lionel Messi, Kylian Mbappe na Neymar hakuna yao aliyefunga na PSG ilitangulia kwa bao la kiungo Mspaniola, Ander Herrera dakika ya 15, kabla ya kiungo Mbelgiji, Hans Vanaken kuisawazishia Club Bruges dakika ya 27.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI, NEYMAR NA MBAPPE LAKINI PSG SARE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top