• HABARI MPYA

  Wednesday, September 01, 2021

  JEZI MPYA SIMBA SC KUZINDULIWA JUMAMOSI

   KLABU ya Simba SC imesema itazindua jezi zake za msimu mpya Jumamosi kuelekea tamasha lake la kila mwaka, Simba Day ambalo litafanyika Septemba 19 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Hayo yamesemwa na Kaimu Mku wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, Ezekiel Kamwaga katika mkutano uliohudhuriwa na msambazaji wa jezi za klabu hiyo, Freddy Vunjabei.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JEZI MPYA SIMBA SC KUZINDULIWA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top