• HABARI MPYA

  Friday, September 17, 2021

  MAKOCHA SIMBA KATIKA MAJADILIANO ARUSHA


  MAKOCHA wa Simba SC, Mfaransa Didier Gomes Da Rosa (kushoto) na wasaidizi wake, Mnyarwanda Thierry Hitimana (kulia) na mzawa, Suleiman Matola (katika) wakijadiliana mambo katika mazoezi ya timu hiyo kwenye kambi ya Arusha.
  Simba SC inajiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika tamasha lake la kila mwaka la kutambulisha kikosi cha msimu mpya, SIMBA Day litakalofanyika Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAKOCHA SIMBA KATIKA MAJADILIANO ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top