Mwanzo > SIMBA > MO AWAIBUKIA WACHEZAJI MAZOEZINI HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA MO AWAIBUKIA WACHEZAJI MAZOEZINI MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji leo ametembelea mazoezi ya timu Uwanja wa Mo Simba Arena kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani, Yanga Jumamosi. Thursday, September 23, 2021 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA
0 comments:
Post a Comment