• HABARI MPYA

  Wednesday, September 22, 2021

  LIVERPOOL YAWACHAPA NORWICH CITY 3-0

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Japan, Takumi Minamino usiku wa Jumanne amefunga mabao mawili kuiwezesha Liverpool kuwa hapa wenyeji, Norwich City 3-0 katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup Uwanja wa Carrow Road Jijini Norwich, Norfolk.
  Minamino alifunga mabao hayo dakika ya 14 na 80, wakati bao lingine la Wekundu hao wa Andield lilifungwa na mshambuliaji Mbelgiji mwenye asili ya Kenya, Divock Okoth Origi dakika ya 50.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAWACHAPA NORWICH CITY 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top