• HABARI MPYA

  Saturday, September 25, 2021

  MAN CITY YAICHAPA CHELSEA DARAJANI

   BAO pekee la Gabriel Jesus dakika ya 53 akimalizia pasi ya João Cancelo limewapa Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Chelsea leo Uwanja Stamford Bridge Jijini London.
  Kwa ushindi huo, Man City inapanda  nafasi ya pili, nyuma ya Liverpool na juu ya Chelsea na Manchester United kwa wastani wa mabao wote wakiwa na pointi 13 baada ya mechi sita.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA CHELSEA DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top