• HABARI MPYA

  Sunday, September 19, 2021

  AJAX YASHINDA 9-0 LIGI YA UHOLANZI

  TIMU ya Ajax jana ilipaa kileleni mwa Eredivisie baada ya ushindi wa nyumbani wa 9-0 dhidi ya SC Cambuur - David Neres akifunga mabao mawili, mengone Jurrien Timber, Steven Berghuis, Noussair Mazraoui, Dusan Tadic, Mohammed Daramy, Sebastien Haller na Danilo.
  Kwa matokeo hayo, Ajax inaongoza ligi kwa pointi moja Zaidi ya PSV Eindhoven, ambao hata hivyo wan a mechi moja mkononi.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AJAX YASHINDA 9-0 LIGI YA UHOLANZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top