• HABARI MPYA

  Thursday, September 16, 2021

  REAL MADRID YASHINDA 1-0 UBELGIJI


  WENYEJI, Inter Milan wamechapwa 1-0 nyumbani na Real Madrid bao pekee la dogo wa umri wa miaka 20, Mbrazil Rodrygo Goes dakika ya 89 katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milan, Italia.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YASHINDA 1-0 UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top