• HABARI MPYA

  Thursday, September 30, 2021

  JUVENTUS YAICHAPA CHELSEA 1-0 TORINO


  WENYEJI Juventus jana wameutumia vizuri Uwanja wa nyumbani, Allianz Jijini Torino baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa Kundi  H bao pekee la Federico Chiesa dakika ya 46.
  Ushindi huo unawapandisha kileleni Juve wakifikisha pointi sita,     wakati  Chelsea inabaki na pointi zake tatu sawa na Zenit, huku Malmö ambayo haina pointi ikiwa inashika mkia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUVENTUS YAICHAPA CHELSEA 1-0 TORINO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top