• HABARI MPYA

  Tuesday, September 21, 2021

  NYOTA WA COASTAL UNION TANGA BEACH


  WACHEZAJI wa Coastal Union wakioga kwenye bwawa la kuogelea la hoteli ya Tanga Beach Resort Jijini Tanga baada ya mazoezi ya gym asubuhi ya leo kujiandaa na mchezo wao wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Azam FC Jumatatu ijayo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYOTA WA COASTAL UNION TANGA BEACH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top