• HABARI MPYA

  Monday, September 27, 2021

  SIMBA WATUA MUSOMA KUIVAA BIASHARA


  KIKOSI cha Simba tayari kipo Musoma mkoani Mara baada ya safari ya ndege Dar-Mwanza na basi Mwanza- Musoma tayari kwa mchezo wake wa ufunguzi wa Ligi Kuu dhidi ya wenyeji, Biashara United kesho Saa 10:00 jioni Uwanja wa Karume.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA WATUA MUSOMA KUIVAA BIASHARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top