• HABARI MPYA

  Wednesday, September 22, 2021

  ANTHONY JOSHUA TAYARI KUMVA USYK


  BINGWA wa ngumi duniani uzito wa juu,  Anthony Joshua amejitokeza kwenye mbele ya Vyombo vya Habari Jijini London na kuonyesha alivyo tayari kwa pambano la kutetea mataji yake ya WBO, WBA, IBF na IBO Oleksandr Usyk wa Ukraine.
  Mbabe huyo mwenye umri wa miaka 31 kutoka Watford, jirani na London, atatetea mataji yake hayo mbele ya watazamaji 60,000 Uwanja wa Tottenham Hotspur, London.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ANTHONY JOSHUA TAYARI KUMVA USYK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top